Dah!! si DJ wala nani wote fully kujiachia mtu wangu.. mpaka mchizi wangu ********** dah!!!!ni noma siku hiyo..
Dah!! Washikaji wa 100.5 kwa kujiachia tu na warembo wao!! usipime mtu wangu.. Mambo ni hot now days huko Times fm. ahh!!! Ni Afro Vibes hiyoo
Dah!! mchizi wa England na yeye fully mapozi ya picha!! Hawa ndo wadau hasilia wa Afro Vibes wakiwa na mgeni wao Bozi Boziana mara tu alipomaliza mahojiano nao.. Kushoto ni Almas Msabaha, katikati ndiye Bozi Boziana wakati kulia kwao ndiye yule Amina Singo aka Mwasi Kitoko ....Mzee wa ******** (malizia basi wangu)Mapozi hayo watu wangu..