Friday, July 4, 2008

Ujio wa Bozi Boziana wawapagawisha wengi

Dah!! Machizi walipagawa kinoma wakati Bozi boziana kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliporejea ndani ya Studio za 100.5 fm katika kipindi cha Afro Vibes kinachorushwa kila saa moja na nusu jioni hadi tatu unusu na Mwasi Kitoko naye Mkongomani Msabaha.
Dah!! si DJ wala nani wote fully kujiachia mtu wangu.. mpaka mchizi wangu ********** dah!!!!ni noma siku hiyo..
Dah!! Washikaji wa 100.5 kwa kujiachia tu na warembo wao!! usipime mtu wangu.. Mambo ni hot now days huko Times fm. ahh!!! Ni Afro Vibes hiyoo
Dah!! mchizi wa England na yeye fully mapozi ya picha!! Hawa ndo wadau hasilia wa Afro Vibes wakiwa na mgeni wao Bozi Boziana mara tu alipomaliza mahojiano nao.. Kushoto ni Almas Msabaha, katikati ndiye Bozi Boziana wakati kulia kwao ndiye yule Amina Singo aka Mwasi Kitoko ....Mzee wa ******** (malizia basi wangu)
Mapozi hayo watu wangu..